• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

ONYO KALI KWA VIJIJI VISIVYO NA UTARATIBU WA KUVUSHA WATOTO KWENYE VIVUKO

Posted on: February 14th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ameonya vikali swala la watoto wadogo kujivusha wenyewe kwa kutumia ngalawa na kuzitaka serikali za Vijiji zinazopuuzia utaratibu  wa kuvusha watoto kuweka utaratibu mara moja .
Meja Gowele ameyasema hayo februali 14. 2022 alipotembelea eneo la kivuko cha bwawa la Umwe  kitongoji cha makalafati Kijiji cha Umwe kusini ambapo iliripotiwa  kuwa watoto hao hujivusha wenyewe kwa kutumia ngalawa pindi wanapokwenda na kurudi shuleni.
“ ninawaagiza kuweka utaratibu wa kuvusha watoto. lazima tuhakikishe watoto wanavushwa asubuhi na muda wa kurudi kama utaratibu ulivyowekwa kwenye vivuko vingine ndani ya Wilaya.  viongozi tunaowajibu wa kuhakikisha usalama wa wananchi wetu hususani watoto. ” alisema Gowele
Aidha amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa njia nyingine mbili ambazo sio za kuvuka kwa ngalawa bado kuna ulazima wa kuweka utaratibu katika kivuko hicho kwani ndicho wanachopendelea watoto kutokana na urahisi wake wa kufika shuleni.
Ameongeza  kuwa wilaya ya rufiji ni wilaya ambayo kwa jiografia yake imezungukwa na maji hivyo maeneno mengi watu huvuka kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa utaratibu uliowekwa na wananchi wenyewe kupitia serikali za vijiji na kumtaka mwenyekiti wa kijiji pamoja na mtendaji kuchukua hatua hizo ndani ya siku mbili.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kijiji cha Umwe kusini Rajabu Issa Mnara ameeleza kuwa awali kulikuwa na utaratibu wa watoto hao kuvushwa na wazazi lakini katika kipindi hiki cha kilimo wazazi wamekuwa wakikiuka makubalino na kuwaacha watoto wanajivusha wenyewe. hata hivyo amesema atachukua hatua za haraka na kutekeleza maelekezo kama yalivyotolewa na mkuu wa wilaya . 
 “ wananchi ndio walioomba hivi vivuko toka serikalini na serikali ikatekeleza na wazazi ndio waliokuwa wakiwavusha watoto lakini kutokana na shughuli za kazi kumekuwa hakuna uhakika wa kuvusha watoto. Tutakaa na kumchagua mtu akayekuwa anavusha watoto kuanzia kesho.” Alisema Mwenyekiti wa Kijiji.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa