• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

NISISIKIE KOROSHO ZINATOROSHWA: DC GOWELE

Posted on: October 11th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amekemea vikali utoroshaji wa mazao hasa msimu huu wa zao la korosho na kuwataka Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama Wilaya, Viongozi wa Vyama vya msingi pamoja na Wananchi wote kukomesha swala hilo.

Ameyasema hayo oktoba 11.2021 katika kikao cha Wadau wa zao la korosho kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri, Utete Wilayani humo.Gowele amewataka viongozi pamoja na wananchi kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kupitia utoaji wa taarifa za vitendo vyote viovu ili kuinua uchumi kwa Wananchi na Taifa kwa ujumla.

“ Tumuunge Mkono Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan hasa katika ukusanyaji wa mapato ili atuletee maendeleo kupitia mapato hayo. Mimi na vyombo vyangu tuko macho wakati wote, tunachohitaji ni taarifa tu “.  Alisema.

Aidha amekemea tabia ya Wananchi kutosafisha mashamba pamoja na uchomaji wa moto wakati wa usafishaji na kuzitaka mamlaka zinahohusika kuhakikisha sheria za nguvu kazi pamoja na mazingira zinatekelezwa ili kukomesha tabia hiyo. 

“ Nisisikie mtu anachoma moto kusafisha shamba lake”. Alisema.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Ligomba amewataka viongozi wa vyama vya ushirika (AMCOS) kuhakikisha wakulima wanapata elimu ili kuzalisha mazao bora kwa misimu ijayo.

Akijibu hoja ya ukosefu wa usafiri kwa Wataalamu wa Kilimo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji John Lipesi Kayombo amesema, tayari Halmashauri imeshaanza mchakato wa kuagiza pikipiki za Zaidi ya kumi (10) ambazo zitatumika kwa kazi mbalimbali ikiwemo kwa Wataalamu hao.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa mpito chama kikuu cha ushirka Mkoa wa Pwani ameomba usimamizi kuzuia utoroshaji wa korosho huku akisisitiza kuwa kuruhusu utoroshaji kunaathiri upatikanakaji wa pembejeo kwani hutolewa kutokana na wingi wa mazao yanayokusanywa katika amcos husika.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA MKONGO, KIPUGIRA, NGORONGO

    June 11, 2025
  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa