• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

NATOA SIKU TATU KIFUSI MLICHOTELEKEZA BARABARANI KIWE KIMESAMBAZWA

Posted on: January 26th, 2021

Mkuu wa Wilaya Rufiji amemtaka Mkandarasi wa kampuni ya Globalink General Contrctors limited kuhakikisha anasambaza kifusi alichokitelekeza kwa muda mrefu katika barabara iliyopo Utete Wilayani Rufiji yenye umbali wa mita 400 toka barabara ya awali inayotoka  bomani.

Awali alimtaka mkandarasi huyo kueleza sababu za kutelekeza kifusi hicho katikati ya barabara bila kukisambaza na kusema kuwa changamoto za mvua zilikwamisha kazi hiyo kuendelea kufanyika na kuahidi kuwa ataanza usambazaji mara moja.

Pamoja na ahadi hiyo, Sawala amemtaka mkandarasi huyo kuwa na moyo wa kizalendo katika kutoa huduma hiyo na kuwa kufanyavizuri kazi hiyo ni kuwanufaisha Wanarufiji na Tanzania kwa ujumla. “kuwa na moyo wa kizalendo ukiwahudumia vizuri Wanarufiji ni kuwahudumia vizuri Watanzania. Vifusi hivi vinawapa tabu Wananchi wangu kwani vinasababisha ajali. Ninawapa siku tatu kazi hii iwe imefanyika kikamilifu.” Alisema.

Katika hatua nyingine, Sawala amekagua ujenzi wa (roundabout) ya Nyamwage na barabara ya Nyamwage utete mita 700 inayosimamiwa na TANROAD Mkoa wa Pwani  na kumtaka Mkandarasi kujenga mradi huo kwa kuzingatia hali ya hewa ili kuepuka kukwama kwa mradi   kutokan na mvua zinazotarajiwa kunyesha. Mradi huo umegharimu jumla ya shilingi milioni 974,427,620.50 na unatarajiwa kukamilika kwa muda wa miezi sita kuanzia tarehe 12/1/2021 mpaka tarehe 12/6/2021

Sawala amemtaka mkandarasi huyo kuhakikisha anatoa ajira kwa Vijana wa maeneo ya mradi ili wanufaike kwani nao ni miongoni mwa walinzi wa mali na mradi kwa ujumla.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri Juma Ligomba ameeleza changamoto ya daraja linalopeleka maji kwa wananchi kipindi cha mvua na kuwaomba TANROADS kuona namna watakvyowaepusha Wananchi wanaoishi eneo hilo. Pia amewataka kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati uliopangwa.

Kwa upande wake Bwana Sholla Sanga ( Road Inspector) amesema hali ya mradi mpaka sasa ni asilimia 20% . “ pamoja na kuwa mradi ulisimama kwasababu ya mvua mpaka sasa umefikia asilimia ishirini na utakamilika kwa wakati.” Alisema

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa