• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MWENGE WA UHURU WAWEKA JIWE LA MSINGI, WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA SHILINGI MILION 757.9 RUFIJI

Posted on: May 6th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji ,Meja Edward Gowelle amepokea Mwenge wa Uhuru ukitokea wilayani Mkuranga, ambapo umepokea taarifa za miradi nane yenye thamani ya sh.milioni 757.9.

Kati ya miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ghala lililopo katika kijiji cha Ikwiriri Kaskazini, bweni la wasichana shule ya Sekondari Ikwiriri, mradi wa mazingira katika shule ya msingi Shaurimoyo , shule ya msingi Mgomba kijiji cha Mgomba yenye watoto wenye uhitaji maalum na kutembelea kikundi cha ushonaji Umwe Kati.

Hata hivyo, Mwenge wa Uhuru umeshindwa kutembelea  na kukagua  miradi miwili kati ya nane iliyokusudiwa  ambayo ipo kata ya Utete kutokana na changamoto ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha uharibifu wa  miundombinu ya barabara.

Miradi hiyo ni pamoja  mradi wa barabara yenye kiwango cha lami yenye thamani ya sh.550M pamoja na kuweka jiwe la msingi katika  mradi wa maji kijiji cha Nyandakatundu, Utete wenye thamani ya sh. 7.9M.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Mzava, akipokea taarifa ya miradi hiyo, Mei 5,2024 katika eneo ambalo msafara umekomea, ametoa agizo la kuwasilishwa kwa nyaraka na picha mjongefu (video ) ,Leo ili aweze kuzikagua.

Awali akisoma taarifa ya mradi wa barabara Hamisi Muhidini Chikaula amesema ,ujenzi ulianza kutekelezwa 11,agost 2022 na umekamilika April 10,2023 .

Anaeleza, mradi huo umegharimu kiasi cha sh.milioni 504.9 ikiwa ni fedha kutoka Serikali Kuu kupitia Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini( TARURA) wilayani Rufiji na utekelezaji wake umekamilika kwa asilimia 100.

"Lengo la mradi huo ni kuboresha miundombinu ya barabara ili kurahisisha masuala ya usafirishaji" anasema Chikaula.

Akielezea kuhusu mradi wa maji Kijiji cha Nyandakatundu ameeleza, ulianza kutekelezwa April 1,2023 na unatarajia kukamilika juni 1,2024 ambapo umegharimu kiasi cha sh. mil 7.9.

Chikaula amefafanua, hadi sasa utekelezaji wa mradi umefikia asilimia 95 na utakapokamilika utahudumia wananchi 1,119 wa Kitongoji cha Nyandakatundu.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BEREGE AKAGUA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KATA YA MOHORO.

    May 29, 2025
  • WAKUSANYA KODI RUFIJI WAPEWA MAFUNZO UKUSANYAJI WA KODI YA MAJENGO, PANGO LA ARDHI NA USHURU WA MABANGO.

    May 26, 2025
  • BEREGE AWATAKA WAFANYABIASHARA RUFIJI KUANZA KUJIANDAA NA KUZITUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI

    May 21, 2025
  • UWEKEZAJI MKUBWA WA KILIMO CHA CHIKICHI KUTOA AJIRA 5,000.

    May 16, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa