• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MTR, MCHENGERWA WATOA MSAADA WA MADAFTARI KWA WANAFUNZI KUSAPOTI ELIMU RUFIJI

Posted on: January 13th, 2025

Kikundi cha Wasomi Wilayani Rufiji kinachofahamika kwa jina la Mchengerwa Tumaini la Rufiji maarufu 'MTR' kwa Kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa wametoa msaada wa madaftari 35,000 kwa ajili ya Wanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule mbalimbali za Msingi Wilayani Rufiji.


Msaada huo umetolewa leo Jumatatu Januari 13, 2025 katika Shule ya Msingi Mapinduzi iliyopo Kata ya Utete, huku wakisisitiza Wazazi kuweka mkazo katika kusomesha Watoto ikiwa ni sehemu ya Mapinduzi ya kifikra ya kuinua kiwango Cha elimu Rufiji.

"tumeleta madaftari elfu thelethini na tano sawa na katoni 275, ili kumsapoti Mbunge Mchengerwa katika jitihada za kuinua kiwango cha elimu Rufiji... kwahiyo Kwa mwaka huu kwa  kushirikiana na Mbunge tunataka Watoto wote wa darasa la kwanza Wilaya nzima wapate nyenzo za kutumia darasani" Alisema Juma Kiolobele Mwenyekiti wa MTR.



Kwa mujibu wa Kiolobele alisema Mhe. Mchengerwa huwa anasisitiza sana suala la elimu hasa kwa kuawataka Wazazi kuwasomesha Watoto wao Kila anapozungumza na Wananchi wa Rufiji katika Mikutano yake mbalimbali huku huku akitamani kuiona Rufiji ikipiga hatua kielimu.


Kwa upande wake Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Mhe. Ally Ndungutu, alitoa shukrani kwa Kikundi hicho kwa msaada wa Madaftari huku akiendelea kutia mkazo kwa Wazazi kuwapeleka Watoto Shuleni ili wapate elimu.




Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa