• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MRADI WA SHULE BORA MBIONI KUANZA UTEKELEZAJI

Posted on: September 20th, 2022

Na Emmanuel Kapandila - Morogoro

Mradi wa shule Bora unaotarajiwa kuwa mwarobaini wa kuinua kiwango cha Elimunchini uliozinduliwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Vicky Ford Mwezi Aprili,2022 Mkoani Pwani upo  mbioni kuanza utekelezaji wake.

Hayo yameelezwa na Mratibu wa mafunzo kutoka kutoka kwenye taasisi hiyoNdugu Raymondi Kanyambo wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo maafisaMawasiliano waliopo kwenye mamlaka za Serikali za mitaa na Wizara yaElimu,Sayansi na teknolojia na taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyozinazotekeleza mradi huo yanayoendelea Mjini Morogoro kwenye Ukumbi wa Kingsway ili waweze kuhamasisha na kuhabarisha Umma kuhusu malengo na mafanikio yakuanzishwa kwa mradi.

Kanyambo ameeleza malengo manne ya mradi huo kuwa ni kuimarisha ujifunzaji,ufundishaji,kutoaElimu jumuishi na uimarishaji wa mifumo itajayowezesha kutoa Elimu stahikikulingana na mahitaji ya wakati.

Aidha,ameongeza kuwa pamoja na kuwajengea uwezo walimu,mradi una lengo lakuona kuwa watoto wote wanaoanza Elimu ya awali wanafanikiwa kumaliza darasa laSaba na kuendelea na Elimu nyingine pasipokuwa na sababu za kimazingiraisipokuwa kama watakatisha kwa sababu nyingine ikiwemo ugonjwa.

"Mradi unafanyakazi kwa karibu na Serikali hivyo utasapoti kuboresha nakuhuwisha mitaala ili iendane na wakati ikiwemo ya watu wenye ulemavu nakuimarisha mifumo ya ufundishaji kwa wadau kuanzia ngazi ya Taifa mpakachini" amesema Kanyambo

Kwa upande upande wake mwakilishi kutoka OR-TAMISEMI Fred Kibano amewatakamaafisa Mawasiliano kuendelea kufanyakazi zao kwa weledi za kutoa taarifa zaokwani kufanya hivyo ni kuwaunganisha wananchi na Serikali ambayo imekuwaikipeleka Maendeleo mengi lakini hawahabarishwi ipasavyo

Aidha,Mkurugenzi msaidizi kutoka Idara ya Habari MAELEZO Rodney Thadeusiamewataka maafisa Habari wote kutoka kwenye Maeneo yote kuwasilisha miradimikakati yote inayotekelezwa ili waweze kutambua na kupima  ushiriki waoili kama Kuna maeneo hawashirikishwi waweze kuwashauri makatibu Wakuu waboresheeneo hilo kwani wananchi wanahitaji kupata taarifa sahihi za Serikali tena kwawakati.

Mradi huu unatekelezwa kwenye mikoa tisa nchini utagharimu GBP 80 milionisawa na fedha za kitanzania  Bilioni 271

Wengine walioshuhudia uzinduzi kwa upande wa Tanzania ni Waziri waElimu,Sayansi na teknolojia Prof.Adolf Mkenda,Naibu Waziri OR-TAMISEMIMhe.David Silinde,Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Abubakar Kunenge na viongoziwengine kutoa Wizara na Mikoa ya mradi

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa