• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MPANGO WA KUKABILIANA NA MAAFA WAZINDULIWA

Posted on: May 24th, 2022

Kamati za uratibu wa Maafa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji zimetakiwa kutekeleza majukumu yake  kikamilifu katika kuzuia, kupunguza vihatarishi na kuwa tayari kukabiliana na maafa  ili kuleta maendeleo  endelevu kwa Wananchi.
Hayo yamesemwa  na Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Meja Jenerali Michael Mumanga kwa niaba ya Katibu Mkuu Dkt. John Jingu wakati wa hafla ya kushuhudia utiaji saini na kukabidhi Mkakati wa kupunguza vihatarishi vya maafa pamoja na Mpango wa kujiandaa na kukabiliana na maafa iliyofanyika katika  Halmashauri Wilayani Rufiji moani Pwani.
Alisema kuwa jamii ya Rufiji imekuwa ikihitaji muitikio mkubwa wa Serikali na wadau katika usimamizi kutokana uwepo wa majanga ya maafuriko, migogoro kati ya wakulima na wafugaji, ukame, magonjwa ya mlipuko, wanyama pori pamoja na wadudu waharibifu.
“Ni lazima tuchukue hatua za makusudi za kuzuia na kupunguza vihatarishi na kuwa tayari muda wote katika kukabili maafa yale ambayo hayazuiliki kwa kuwa ni mpango madhubuti ili kuleta maendeleo endelevu,” Alisema Mkurugenzi huyo.
Pia  alitoa shukurani kwa Shirika la kuhudumia watoto Duniani (UNICEF) kwa ufadhili wa kuchangia jitihada za Serikali katika kuandaa mpango wa kujiandaa kukabiliana na maafa katika bajeti kwa Halmashauri mbalimbali Nchini.
Awali akisoma taarifa ya utekelezaji Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Bwa.  John  Kayombo alibainisha kuwa  Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imechukua hatua za kuandaa mpango wa kujiandaa na kukabili maafa baada ya kufanikiwa kufanya tathimini ya vihatarishi.
 “Halmashauri  inashirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu  na imechukua hatua mbalimbali zikiwemo kuandaa mpango wa kijiandaa na kukabili maafa wa Wilaya  kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia madhara hivyo mpango huu utasaidia kuongeza ufanisi ii tuokoe maisha ya wananchi na mali zao,” alieleza Bwa. Kayombo.
Aidha Mkuu wa Wilaya ya Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Meja Edward Gowele aliahidi kutekeleza mpango huo kwa kushirikiana na kamati, kusimamia na  kuufanyia kazi mpango huo.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa