• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MKANDARASI BARABARA YA NYAMWAGE UTETE ATAKIWA KUKESHA BARABARANI KUREKEBISHA BARABARA

Posted on: May 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amemtaka mkandarasi wa barabara ya Utete- Nyamwage kuhakikisha anafanyakazi usiku na mchana ya kufanya marekebisho ya maeneo yote korofi yanayokwamisha usafiri ili aweze kutatua tatizo hilo kwa haraka na wakati. 

Mhe. Gowele ametoa agizo hilo jana Mei 7, 2024 katika eneo la tukio Nyamwage,  wakati akielekea Utete akitokea Ikwiriri, baada ya kushuhudua gari lililobeba kuni ikinasa na kufunga barabara huku magari ya abiria yakisubiri jitihada za kutoa gari hilo ili yaweze kupita.

“kama serikali tumeshatoa maelekezo kwa Mkandarasi kwamba hii Barabara ipitike, nimeshamuagiza Mtu wa TANROAD ahakikishe Mkandarasi anakuwepo hapa muda wote masaa 24. Maoperator wawepo hapa, inapotokea changamoto waweze kutatua kwa haraka na kwa wakati” alisema Gowele.

Gowele aliongeza kwa kusema Barabara hiyo inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami imeshakabidhiwa kwa mkandarasi kwa ajili ya kuanza ujenzi na fedha imeshalipwa.

“hii Barabara wamekabhiwa muda mrefu na fedha wameshapewa ni wajibu wao kuhakikisha Barabara inapitika muda wote” aliongeza DC Gowele.

Kwa upande wake, Injinia kutoka Wakala wa BarabaraTANROAD Mkoa wa Pwani Evans Kamwaga, amesema wameshaanza kurekebisha eneo hilo kwa kuanza kuweka mawe, huku akiahidi kuyafanyiakazi maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya kumtaka mkandarasi anarekebisha vipande vyote korofi katika Barabara hiyo kwa kufanyakazi masaa 24 (usiku na mchana).

“mpaka sasa tumeweza kutafuta mawe ambayo Mkandarasi anayashughulikia kuyaleta, yatasaidia kurudisha mawasiliano ya Barabara Utete-Nyamwage. Tunamshukuru Mkuu wa Wilaya kwa ushirikiano ameweza kutusaidia kutupa kibali cha kupata mawe ili kurejesha mawasiliano katika Barabara hii” alisema Injinia Kamwaga.

Usisahau kutembelea Www.rufijidc.go.tz na Youtube channel ya Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa