• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MIRADI YA UJENZI WA MADARASA MSINGI NA SEKONDARI YATAKIWA KUKAMILIKA IFIKAPO 15/12/2020

Posted on: December 3rd, 2020



Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Luteni Kanali Patrick Sawala amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya ujenzi katika Shule za Msingi na Sekondari na kuzitaka kamati za Ujenzi kukamilisha Ujenzi huo ifikapo tarehe 15/12/2020 ili yaanze kutumika ifikapo januari 2021.

Sawala amaeanza ukaguzi kwa Shule nne ikiwepo Shule ya Msingi Umwe yenye mradi wa Shilingi milioni 46.6 , milioni 40 kwaajili ya vyumba viwili vya madarasa na milioni 6.6 matundu sita ya vyoo. Shule ya Msingi Kikongono nayo imepewa jumla ya Shilingi Milioni 48.8, Milioni 40 ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na milioni 8.8 ujenzi wa matundu 8 ya vyoo.

Shule ya Msingi Kipo Mashariki imepewa jumla ya Shilingi Milioni 64.4, milioni 60 ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na milioni 4.4 matundu manne ya vyoo.


Akizungumza na Viongozi pamoja na kamati za Ujenzi Sawala amewataka Viongozi hao kuhakikisha ujenzi unakwenda sambamba na utengenezaji wa madirisha pamoja na samani za madarasani yakiwemo madawati ili vitu vyote vikamilike kwa pamoja na kwa wakati. " hakikisheni kazi zote zinagawanywa na kufanyika kwa wakati mmoja ( concurrently) ili vitu vyote vikamilike kwa pamoja. tarehe 15 nitarudi tena nikute miradi imekamilika." alisema.


Aidha amewasisitiza mafundi kufanyakazi kwa Weledi na kwa ubora wa hali ya juu ili kujenga uaminifu na Serikali na kujiwekea uhakika wa kupewa miradi mingine. sambamba na hilo ametoa rai kwa wasimamizi wa miradi hiyo kuhakikisha fedha zilizoleta zinatisheleza na sio kupungua na kushindwa kukamilisha miradi Sitaki kusikia stori za Rufiji kutokamilisha miradi fedha zilizoletwa ni nyingi na zinatosha kukamilisha miradi yote Kama ilivyopangwa."


Pia ametoa pongezi kwa ubunifu wa kuongeza chumba Cha Ofisi kwa kila mradi wa madarasa katika kila shule aliyotembelea na kuita ubunifu huo kuwa ni ubunifu wa kizalendo." huo ni Uzalendo wa kuigwa wengine wangebania fedha na kuzitumia vinginevyo lakini ninyi mmeona mjenge Ofisi nawapongeza Sana" alisema.


Sawala alihitimisha ziara yake katika Shule ya Sekondari Ngorongo ambapo alikagua mradi wa ujenzi wa bweni kwaajili ya wasichana mradi ambao unathamani ya kiasi chaShilingi Milioni 80.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa