• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MENEJIMENTI YA MAAFA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU YAIKIMBILIA RUFIJI.

Posted on: April 8th, 2024


Idara ya Menejimenti ya Maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu imetoa tani 20 (sawa na magunia 225) za Mahindi, ndoo 300, blanketi 510, neti 520 na mahema makubwa manne, kwa ajili ya kutoa msaada kwa waathirika wa mafuriko ya maji yaliyofunguliwa katika mradi wa umeme wa Julius Nyerere JNHPP, hali iliyopelekea Wananchi kuhama mabondeni.

Msaada huo umewasilishwa na kupokewa jana Aprili 7, 2024 katika Ofisi za Chuo cha Maendeleo ya Wananchi FDC, na Katibu tawala Mkoa wa Pwani Rashid Mchata kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo baada ya kutoa taarifa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Menejimenti ya Maafa, huku akiwapongeza Viongozi wa Rufiji kwa namna wanavyoshirikiana kupunguza athari kwa Wananchi baada ya Mafuriko. 

Kwa upande wake, Naibu Kamishina Hamisi Lutengo, kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Menejimenti ya Maafa, amesema watoa msaada huo baada ya kupokea taarifa kutoka katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani.

“katika taarifa tuliyoipata, kwa uharaka tumeleta vifaa na Chakula kama mahitaji muhimu kwa wahanga. Tumeleta tani 20 za Mahindi, ndoo 300, banketi 510, neti 520 na mahema makubwa manne” alisema Lutengo.

Akitoa Shukurani baada ya kupokea msaada huo, Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele alisema “kwa niaba ya Wilaya tunashukuru sana kwa kuweza kutufikishia, na tutausimamia kwa uaminifu kuhakikisha kwamba wanaopata Chakula hiki ni wale walengwa” alisema DC Gowele.


Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa