• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

MAFUNDI WA MIRADI YA MAENDELEO KUSAINI MIKATABA MAALUM NA HALMASHAURI

Posted on: October 8th, 2021

Leo Oktoba 8. 2021 Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Juma Ligomba amesimamia zoezi la utiaji saini wa mikataba ya Ujenzi Kati ya Mafundi pamoja na Halmashauri kwa lengo la kuongeza ufanisi katika Utekelezaji wa Miradi hiyo ya Maendeleo kwa Kasi, Viwango, na ubunifu.

Akizungumza baada ya majadiliano ya kuwajengea uwezo Mafundi kupitia mikataba hiyo, Mhe. Ligomba amewataka Mafundi nitekeleza makubakubaliano waliyoingia na Halmashauri huku akitoa msisitizo kwa upande wa Halmashauri kuhakikisha mahitaji yote ya vifaa vya mradi kwa mujibu wa mkataba yanatekelezeka kwa wakati.

" Pande zote mbili zikitekeleza wajibu wake miradi itakamilika kwa wakati na kwaa ufanisi Mkubwa."Alisema

Aidha Mhe. Ligomba amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuhakikisha kuwa miradi inayotekelezwa inakuza uchumi wa Wananchi ndani ya Halmashauri kwanza.Ligomba amesema kwa Mwaka 2021/2022 Halmashauri itajenga vyumba vya Madarasa zaidi ya 40 kwa Shule za Sekondari kumaliza tatizo la upungufu wa Madarasa kwa Wanafunzi wa kidato Cha kwanza 2022 na kuwa utekelezaji wa mpango huo tayari umeanza.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Edward Mwamotela amewataka Mafundi kuondoa mashaka katika Utekelezaji wa Mikataba hiyo na kuwa kamwe wasikubali kuendelea kujenga iwapo watagundua kuwa vifaa walivyoletewa kwa Ujenzi viko chini ya kiwango.Mwamotela ameongeza kuwa Mkakati wa Halmashauri kwa Sasa ni kuanza kutambua Mafundi wanaofanyakazi Vizuri ili kuwaweka kwenye mfumo ambao utawafanya Mafundi hao wenye ufanisi wanaotoka Rufiji wanapewa kipaumbele kupewa kazi za utekelezaji wa miradi ya Serikali.

Kwa upande wao Mafundi, wameiomba Halmashauri kuhakikisha inaweka Utaratibu mzuri wa malipo ili wapate malipo yao kwa wakati.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa