• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KAYOMBO KUZUIA UVUJAJI WA MAPATO

Posted on: November 15th, 2021


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji John Lipesi Kayombo amewataka Wakuu wa Idara zinazohussika na ukusanyaji wa mapato kuhakikisha zinatumia mifumo ya Serikali ya ukusanyaji wa mapato ipasavyo ili kuzuia uvujaji wa mapato hayo.


Ameyasema hayo Novemba 15.2021 katika kikao kazi cha Robo ya Kwanza Cha  Idara zote za Halmashauri Wilayani humo.


" Wilaya yetu imeshika nafasi ya tatu Kitaifa katika kwa kupeleka fedha nyingi  za maendeleo kwa Wananch kwa kipindi Cha robo ya kwanza katika Mwaka wa fedha 2021/2022. Hii ni kutokana na ukusanyaji nzuri wa fedha za mapato ya ndani. Twendeni tukaongeze Kasi ya ukusanyaji kwa kutumia Vizuri mifumo ya serikali ya ukusanyaji wa mapato ili tuongeze kasi katika kuwaletea maendeleo Wanarufiji." Alisema.
Akijibu kero za watumishi, amewataka Wakuu wa Idara kuhakikisha Wanaweka mpango wa kulipa madeni kwa Watumishi wanaodai stahiki zao zikiwemo za uhamisho na majukumu mengine ili kuondoa malalamiko yasiyo ya lazima. " Tunapolipa tusijiangalie sisi tu, tuwaangalie na wasaidizi wetu." Alisema.


Kwa upande wa Afya Kayombo amesema Halmashauri imetenga fedha kwaajili ya uboreshaji wa mifumo ya ukusanyaji wa mapato katika maeneo yote yanayotoa huduma za Afya ambapo tayari utekelezaji umeanza kwa Hospitali ya Wilaya na kituo Cha Afya Ikwiriri.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA KUKUSANYA TAARIFA ZA ANUANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI February 16, 2022
  • MPYA - TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 23, 2022
  • Ona zote

Habari Mpya

  • MPANGO WA KUKABILIANA NA MAAFA WAZINDULIWA

    May 24, 2022
  • LIGOMBA ATOA WITO KWA WANANCHI WA RUFIJI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI

    May 18, 2022
  • DC GOWELE:TUNAMSHUKURU MHE. RAIS AMETUKUMBUKA SANA WANARUFIJI NA KILA KATA MIRADI YA MAENDELEO INATEKELEZWA:

    May 18, 2022
  • WATENDAJI WATAKIWA KUJITAMBULISHA KWA ANUANI ZAO

    May 18, 2022
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa