• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

KAMATI ZA MAAFA ZA VIJIJI, VITONGOJI, KATA ZATAKIWA KUFANYA TATHIMINI YA MAZAO YALIYOATHIRIKA NA MAJI MASHAMBANI

Posted on: March 24th, 2024

Kamati ya Maafa ya Wilaya ya Rufiji, imefanya kikao na Wajumbe wa Kamati za Maafa za Vijiji, Vitongoji pamoja Kata katika Kata ya Ikwiriri Tarafa ya Ikwiriri, ambapo Wamewataka Wajumbe hao kufanya tathimini ya mazao na mifugo iliyoathirika baada ya maji yaliyofunguliwa katika mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere kuingia mashambani.

Akizungumza kwa nyakati tofauti Jana machi 23, 2024, na Wajumbe hao Katika ofisi za Kata ya Umwe, Ikwiriri na Mgomba,  Katibu wa Maafa na Afisa Mipango Semeni Mbigo, amesema wanafanya tathimini ili kupata takwimu halisi ya namna maji hayo yalivyoathiri Wakulima wa Rufiji kuanzia mazao, mifugo na makazi.

“ tunataka tujue mimea, mimea ipi ambayo imeathirika? idadi ya mimea,  idadi ya mifugo pamoja na makazi” alisema mbigo.

Aliongeza kwa kuwataka Wajumbe hao kuwa waaminifu wakati wa kufanya tathimini huku akikemea  tabia ya kufanya upendeleo katika zoezi hilo.

Mpaka sasa Kamati hiyo imeshatembelea na kufanya kikao na Wajumbe katika kata 6, Chumbi, Mohoro, Mbwara, Ikwiriri, Umwe na Mgomba, zoezi hilo litaendelea katika Kata zilizobaki.

Kwa upande wake, Mratibu wa Kamati ya Maafa Wilaya, Nurudini Mkumbugo amewata Wajumbe kufanya kazi hiyo kwa Kushirikiana ili kufanikisha jambo hilo.

“naomba tushirikiane tufanye hizi kazi, tunataka kujua Mkulima huyu amelima mazao ya aina gani, hekari ngapi, lakini pia mifugo (idadi ya mifugo iliyoathirika) na Makazi (sio madungu) kwasababu maji haya kuna maeneo yamefika kwenye makazi ya Watu” amesema.

Katika hatua nyingie, Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Rufiji ambaye pia ni MJumbe wa Kamati hiyo, Inspekta Henry Mwaluseke, ameendelea kuwasisitiza Wananchi kuendelea kuhama maeneo ya mabondeni kwasababu maji yataendelea kufunguliwa mpaka may 25, mwaka huu, kutokana na ujenzi katika bwawa bado unaendelea.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa