• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC KOMBA AKEMEA WAFUGAJI WAVAMIZI KUINGIZA MIFUGO MASHAMBANI

Posted on: January 4th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Luteni Kanali Fredrick Komba, amekemea vikali tabia ya baadhi ya Wafugaji kuvamia mashamba ya Wakulima na kulisha mifugo yao kinguvu hali aliyodai itasababisha uvunjifu wa wa amani kati ya Mkulima na Mfugaji.

Amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani anataka Wananchi wa Rufiji waishi kwa amani na utulivu na sio migogoro kati ya Mkulima na Mfugaji, huku akisisitiza kuwa Mkulima na Mfugaji ni Watu wanaotegemeana katika maisha yao.

“Rais wetu Dtk. Samia anataka jami yetu iishi kwa amani. , migogoro ya Wafugaji na Wakulima nataka niikomeshe Rufiji nikishirikiana na ninyi” amesema DC Komba.

Mhe. Komba aliyasema hayo jana Septemba 30, 2024 katika kikao na Wananchi wa Kijiji cha King’ongo Kata ya Mohoro baada ya kupokea kero hiyo kutoka kwa Wananchi.

Katika harakati ya kukomesha migogoro hiyo alikemea tabia ya baadhi ya Watendaji wa Serikali kupokea rushwa kutoka kwa Wafugaji ili wapeleke mifugo katika mashamba ya Wakulima.

Aidha Mhe. Komba aliwataka Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanatenga maeneo kwa ajili ya shughuli za ufugaji na kilimo ili kuepusha migogoro ya mara kwa mara kati ya Wakulima na Wafugaji.

Awali Diwani wa Kata ya Mohoro na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Mhe. Abdul Chobo aliishukuru Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani kwa kupeleka miradi ya  maendeleo ikiwemo ya umeme na elimu ambayo inaleta faraja kwa Wananchi wa Kijiji hicho.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • SIRI YA RUFIJI KUMSHUKURU RAIS SAMIA NA MBUNGE MCHENGERWA

    May 09, 2025
  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa