• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC GOWELE: WATOTO WENYE LISHE DUNI WAIBULIWE KUEPUKA UDUMAVU

Posted on: June 14th, 2022



Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele amewataka Watendaji wa Kata na Viongozi wenyedhamana kuhakikisha wanatoa elimu kwa jamii ili kutambua, kuibua na kuwasaidia watoto wenye lishe duni kuepuka tatizo la udumavu katika Jamii.


Meja Gowele ameyasema hayo katika Kikao cha tathmini ya Mkataba wa Lishe Robo ya tatu januari hadi Machi kilichofanyika katika ukumbi wa Mazingira (REMP) juni 14. 2022.


" Wapo watu wanawaficha watoto wenye udumavu. Sisi ambao tunadhamana twende tukawaibue. Tukitoa elimu tutaokoa maisha ya watoto katika hjamii zetu." alisema Mhe. Edward Gowele


Aidha amewataka watendaji kuwajibika katika nafasi zao kwa kuhakikisha wanasimamia mazao ya Wananchi yasiharibiwe na Mifugo ili mazao hayo hasa ya chakula yaweze kuchangia katika kupata lishe bora.


" Lishe bora inatokana na chakula hivyo tusimamie mifugo isiharibu mazao".  Alisema Mhe. Gowele


Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ambaye pia ni Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji Leah Kimaro amewataka Watendaji kuhakikisha wanatekeleza majukumu ya Lishe kwa mujibu wa mkataba huku akisisitiza kuweka mbele uzalendo katika kuhudumia Wananchi.


Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji imeendelea kutekeleza majukumu ya Mkataba wa Lishe ikiwemo kufanya maadhimisho ya siku ya Afya na Lishe Kuanzia ngazi ya Kijiji katika kipindi cha robo ya tatu kwa asilimia mia moja.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa