• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DC , DAS WASHIRIKI KUWATOA WANANCHI MASHAMBANI KUPISHA MAJI

Posted on: March 10th, 2024

Viongozi mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele wameshiriki katika juhudi za kuwahamisha Wananchi wa Kata ya Utete Wilayani Rufiji Mkoani Pwani, kutoka mashambani na kuwarudisha Vijijini baada ya maji yaliyofunguliwa kutoka katika Bwawa la umeme la Julius Nyerere.

Akizungumza na Wananchi akiwa Katika kivuko cha Feri-Utete aliendelea kuwataka Wananchi kuhamasisahana kuhama maeneo ya mabondeni ili kunusuru Maisha yao.

“tumepokea taarifa mchana huu maji yanazidi kuja kwa kasi, ule ujazo wa mita 6,000 uliokuwa awali leo umeongezeka umekuwa 7,000 kwa sekunde na ndio maana mnaona maji yanazidi kuongezeka. Kwahiyo chakufanya ni kuwaambia ndugu zetu wahame wasogee mbali kabisa (warudi vijijini) kwasababu maji yanazidi kuongezeka” alisisitiza Mhe. Gowele.

Wananchi hao wamehamishwa jana machi 10, 2024 kwa msaada wa boti mbili za serikali baada ya mashamba yao kuzingirwa na maji.

Wakizungumza baadhi ya Wananchi waliohamishwa akiwemo Mohamedi Kinjumbi Mkazi wa Utete ambaye alihama saa mbili ya usiku amesema maji yamekuwa mengi, hivyo amelazimika kuhama ili kuokoa uhai wake, huku baadhi wa mazao yake yakiwemo Mahindi na ndizi zipo kwenye maji.

“watu wameshapoteza mazao yao yote, Mahindi yamezama mpaka sasa hivi tunahangaika namna ya kuyatoa, tatizo kubwa ni boti chache, wananchi wengi wa Utete wanalima ng’ambo ndo maana unaona mpaka saizi saa mbili ya usiku tupo hapa” alisema kinjumbi.

Haji Mng’ombe Mwananchi wa Utete ameishukuru serikali Wilayani humo kwa kuwa pamoja na waathirika katika kufanya jitihada za kuwahamisha kutoka mashambani na kuwarudisha vijijini huku akitoa wito kwa Wananchi wengine kutoka maeneo ya Mabondeni.

“tunamshukuru Mkuu wetu wa Wilaya ya Rufiji na jopo lake lote katika kupambania usalama wa Wananchi, kiwango cha maji kinachozingi kuingia kwa kasi ni hatari sana kwahiyo tunatakiwa Wananchi tunatakiwa kutoka mabondeni kwa ajili ya usalama wetu” amesema.

Vilevile, Gowele alitoa tahadhari kwa kuwataka Wazazi na Walezi kuwaangalia Watoto wao wasicheze kwenye mabwawa yanayoingia maji, kwasababu maji hayo yanaweza kuja na mamba wengi.

“Watoto wetu tuwaangalie wasikae maeneo hayo, hata ninyi mnaochota maji pembezoni mwa mto tuwe na tahadhari kubwa” aliongeza Gowele.

Kamati ya Maafa ilivyuoanza kutoa tahadhari.

Machi 7, 2024 Kamati ya Maafa ilifika katika eneo hilo na kupiga marufuku kutumia mitumbi kuvushia abiria badala yake litumike boti ya serikali kutokana na maji kuwa kuwa makali huku akiwataka Wananchi kuvaa mamboya wanapokuwa majini kwenda na kurudi shamba.

“hakuna spea ya nafsi, tunawaheshimu , tunawapenda ndo maana tunatoa maelekezo kwenu, hii haina tofauti na mafuriko ya mvua za el-nino lazima tuchukue tahadhari. Nikosa kuweka watoto wa shule mashambani na tuwaambie wenzetu wanaokaa mabondeni (mashambani) watoke huko (warudi Vijijini)” alisisitiza Insp. Henry Mwaluseke Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilayani Rufiji ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Maafa.


Katika hatua nyingine,  Kamati hiyo ilifikia katika Kata ya Chumbi na Mohoro kwa lengo la kutoa elimu kwa Wananchi

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa