• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

DAS RUFIJI AWATAKA WATENDAJI KUAZIMISHA SIKU YA LISHE KWA WAKATI

Posted on: February 19th, 2021


Katibu Tawala Wilaya ya Rufiji Bi. Maria Katemana amewataka Watendaji wa Kata kuhakikisha wanasimamia Vijiji kutekeleza Mkataba wa Lishe hususani katika uazimishaji wa siku ya lishe ngazi ya Vijiji .” Tupange mikakati ili Vijiji vyote viweze kuazimisha siku ya lishe kwa wakati” Alisema

Ameyasema hayo alipokuwa akifunga kikao cha tathimini ya pili ya Mkataba wa lishe ngazi ya Kata Oktoba hadi Desemba kilichofanyika tarehe 19/02//2021 Utete Rufiji.

Awali akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe ngazi ya Kata robo ya pili Oktoba hadi Desemba 2020 Afisa Lishe Wilaya Bi. Mwanahamisi Lyana alizitaja kata ambazo Vijiji vyake havikuazimisha siku ya lishe kwa wakati na kupelekea kuchelewa kwa taarifa za utekelezaji, huku kata ya Mkongo ikiwa haikutekeleza kabisa.

 Aliongeza kuwa Vijiji Vilivyobandika taarifa za lishe ni 37 kati ya Vijiji 38 na Kijiji cha Kipugira kikitajwa kama Kijiji pekee ambacho hakikubandika taarifa hizo katika mbao za matangazo.

Pia ameitaja changamoto ya Baadhi ya Vijiji kutotumia mapato yake ya ndani kuwawezesha Wahudumu wa Afya Vijijini( WAVI) na kutaja Vijiji 11 tu vinavyotekeleza azimio hilo ambavyo ni Mbwara, Nambunju, Kipo, Kipugira, Tawi, Chumbi B, Mgomba Kaskazini, Kitapi,Nyamwage, Ngorongo mashariki, pamoja na Kilimani.

Kufuatia taarifa hiyo, Katibu Tawala amemtaka Mkurugenzi Mtendaji kuhakikisha anasimamia Watendaji ngazi ya Kata na Vijiji ili kuhakikisha Mkataba wa Lishe unatekelezwa kwa kutimiza mahitaji ya Mkataba ili kujenga jamii imara na iliyobora kwa Wilaya na Taifa kwa ujumla. “Tuweke mikakati mizuri ili tuweze kusaidia Taifa la baadae.” Alisema.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Geriad Mgoba amesema Vijiji vinatakiwa kuweka suala la lishe kama kipaumbele cha kwanza na kuhakikisha kidogo kinachopatikana kinatumika katika masuala ya lishe.” Nilazima tutumie kidogo tulichonacho na kuweka kipaumbele suala la lishe katika Vijiji vyetu. Watendaj himizeni mikutano na mtoe maelekezo kwa Viongozi wa Vijiji ili kutekeleza mahitaji.” Alisema.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa