• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

BARAZA LA MADIWANI RUFIJI LAPITISHA BIL. 40.9 YA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI 20266/2027 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: February 19th, 2026

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Rufiji limejadili na limepitisha mapendekezo ya rasimu ya mpango na bajeti ya Halmashauri ya Mji Rufiji kwa mwaka wa fedha 2026/2027 yenye Jumla ya Shilingi 40, 961, 397,000.00 kwa ajili ya utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za Halmashauri ambao unalenga kwenda kusogeza huduma kwa Wananchi.

Baraza hilo limepitisha rasimu hiyo leo Februari 19, 2026 katika kikao cha Baraza Maalum la Kujadili rasimu ya mpango na bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Rufiji Mhe. Abdul Chobo amewataka Madiwani pamoja Watendaji wa Serikali kuhakikisha wanasimamia vizuri vyanzo ya mapato ya Halmashauri ili rasimu ya mpango huo uweze kutekeleaka kama ilivyopangwa.

Akiwasilisha taarifa hiyo, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathimini Faustinr Selestine amesema bajeti hiyo itakwenda kusaidia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa Wananchi pamoja na umaliziaji wa miradi ya maendeleo ili kutimiza adhima ya Serikali ya kuoeleka huduma kwa Wananchi.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI RUFIJI LAPITISHA BIL. 40.9 YA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI 20266/2027 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    February 19, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI RUFIJI LAPITISHA BIL. 40.9 YA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI 2026/2027 KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    February 19, 2026
  • KAMATI YA DCC RUFIJI YAPITISHA BIL. 40.9 YA MAPENDEKEZO YA RASIMU YA MAKISIO YA BAJETI YA HALMASHAURI

    February 12, 2026
  • MIFUGO ITAKAYOKUWA NJE YA RANCHI KUKAMATWA

    December 29, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa