• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

BARAZA LA ARDHI IKWIRIRI KATI LAVUNJWA

Posted on: August 22nd, 2020

Mkuu Wa Mkoa wa Pwani Mh. Eng. Evarist Ndikilo akiwa katika mkutano na wananchi wa tarafa ya Ikwiriri Wilayani Rufiji amevunja baraza la aridhi la kijiji cha Ikwiriri kati kutokana na kuwepo kwa tuhuma hasa za rushwa kwenye utatuzi wa migogoro ya aridhi. tuhuma hizi zilielezwa wazi na Ndg. Hamisi S. Ngwele ambaye ana mgogoro wa ardhi na Bi. Mwashabani Liutike, alisema  kuwa alianza kuutiliashaka mwenendo wa baraza hilo baada ya kusikia maamuzi ya mgogoro huo kuwa Bi. Mwashabani ameshinda na ameipa kamati shilingi laki mbili kabla ya siku ya hukumu ya kesi hiyo.”taarifa hiyo niliipata kutoka kwa mjumbe mmoja wa baraza hilo.  niliposikia niliamua kutoa taarifa kwa ofisi ya Takukuru kwaajili ya uchunguzi na uchunguzi ukaanza lakini cha ajabu baraza limeshatoa maamuzi kuwa Bi. Mwashabani ameshinda. ndipo nilipoamua kukata rufaa na kuambiwa niende Mkuranga.” Baada ya kusikia hayo, Mkuu wa Mkoa aliagiza ofisi ya Takukuru kutoa uthibitisho juu ya malalamiko hayo na majibu ya uchunguzi ambapo Kamanda wa Takukuru Mkoa alijibu kuwa amewasiliana na Kamanda wa Takukuru Wilaya na amemfahamisha kuwa amechunguza mwenendo wa kesi na kujiridhisha kuwa ni kweli baraza hilo lilijihusisha na kupokea Rushwa hali iliyopelekea kutotendeka kwa haki katika maamuzi ya kesi hiyo. Baada ya kupokea taarifa hizo Mkuu wa Mkoa alitoa maelekezo ya kuvunja baraza hilo na kumuagiza Mkuu wa Wilaya kusimamia uundaji wa baraza jipya kwa kuzingatia sheria. “ Navunja baraza la ardhi ikwiriri kati na nakuagiza Mkuu wa Wilaya kufuatilia uundwaji wa baraza jipya kwa mujibu wa sheria na baraza jipya lipitie kesi hii upya.”

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAHILI RUFIJI December 28, 2023
  • TANGAZO LA MNADA May 21, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 17, 2024
  • TANGAZO LA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 17, 2024
  • Ona zote

Habari Mpya

  • CHATANDA, MCHENGERWA WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MITANO YA BIL 13.3 YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA RUFIJI

    May 07, 2025
  • CHATANDA ARIDHISHWA NA KUPONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI RUFIJI

    May 08, 2025
  • KATIKA KIPINDI CHANGU CHA MIAKA 10, TUMEJENGA SHULE MPYA 20 ZA SEKONDARI' - MCHENGERWA. 1

    May 08, 2025
  • WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO RUFIJI WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA IFT-MIS.

    April 28, 2025
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa