• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Rufiji District Council
Rufiji District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
      • ladi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara na Vitengo
      • Mifugo na Uvuvi
      • Afya na Mazingira
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Work and Fire Rescue
      • Ardhi na Maliasili
      • Mazingira
      • Kilimo na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maji na Umwagiliaji
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma ya maji safi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Fedhda, Utawala na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Social Services
      • Maadili
    • Ratiba za Vikao
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Taarifa kwa vyombo vya habari

TUNATAKIWA KUSIMAMIA, KUENDELEZA NA KUILINDA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA SERIKALI KWA MANUFAA YETU:

Posted on: February 9th, 2021


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Rufiji Juma Ligomba amewataka Wananchi kusimamia, kuendeleza na kulinda Miradi inayotekelezwa na serikali ili kuleta maendeleo kwa Vijiji na Halmashauri. Pia amesisitiza ukusanyaji wa mapato ya Kijiji pamoja na  Halmashauri ili kuweza kuinua uchumi na maendeleo kwa Kijiji na Halmashauri kwa Ujumla.

Ameyasema hayo alipokuwa katika Mkutano na Wananchi wa Kata ya Mwaseni uliofanyika katika kijiji cha Mloka mara baada ya kumaliza ziara ya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji na kusikiliza kero za Wananchi hao. “ Suala la ukuasanyaji wa mapato ni sawa na mchanga na jicho. Tusikubali kuacha kusimamia mapato na makusanyo kwa Kijiji na Halmashauri yetu kwa ujumla.” Alisema.

Sambamba na hilo amewataka Wananchi kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa miradi ya serikali ili kuwezesha miradi hiyo kutekelezwa kwa wakati na kwa ufanisi mkubwa.

Pia amesisitiza juu ya utunzaji, uendelezaji na ulinzi wa miradi ya mabwawa ya samaki iliyodhaminiwa na watu wa TAWA ikiwa na lengo la kupunguza tatizo la Wananchi kwenda kufanya shughuli za uvuvi katika mabwawa yaliyomo ndani ya hifadhi. Mabwawa hayo mawili ya Mtanzamsona na Bwala la Mloka yamejengwa kwa thamani ya shilingi milioni 40 huku kila bwawa likiwa limejengwa kwa shilingi milioni 19 na fedga nyingine kumalizia uwekaji wa vifaranga na chakula. “ ninawasihi mshirikiane kwa pamoja kutunza, kuendeleza na kuyalinda mabwawa ya samaki kwani faida yake ni kubwa kwa kijiji na Mwananchi mmoja mmoja. Kama hatutaweka ulinzi katika mabwawa yale basi samaki wote waliopo kuna siku hawatakuwepo na tutakuwa tumefanya kazi bure.” Alisema.

Mheshimiwa ligomba ametembelea mradi wa ujenzi wa darasa Shule ya Sekondari Mwaseni, maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya daktari na kituo kwa ujumla katika kituo cha afya mloka pamoja na maendeleo ya mabwawa ya samaki yaliyojengwa kwa ufadhili wa TAWA na kuwataka wananchi na kamati za usimamizi wa miradi hiyo kusimamia vizuri ili iweze kuleta tija kwa Wananchi. “ Natoa rai yangu kwa Wananchi na viongozi kusimamia vizuri miradi hii ili iweze kuleta manufaa  kwetu.” Alisema.

Matangazo

  • Marufuku pikipiki kuendeshwa kuanzia saa 12 jioni wilayani rufiji March 29, 2017
  • Pata picha za matukio mbalimbali wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru Wilayani Rufiji Juni 3 - 4, 2017 June 03, 2017
  • Tangazo la nafasi ya kazi ya udereva kituo cha Afya Nyaminywili September 18, 2017
  • Tangazo la nafasi za kazi (Marudio) October 05, 2017
  • Ona zote

Habari Mpya

  • DC SAWALA ATAKA WALEMAVU WAPEWE KIPAUMBELE

    February 23, 2021
  • SAWALA AWASHA MOTO SUALA LA RUSHWA VIJIJINI

    February 19, 2021
  • DAS RUFIJI AWATAKA WATENDAJI KUAZIMISHA SIKU YA LISHE KWA WAKATI

    February 19, 2021
  • TUHAKIKISHE TUNATEKELEZA KWA UFANISI NA KWA WAKATI AGIZO LA UTAMBUZI WA MAJENGO, VITAMBULISHO VYA WAJASIRIAMALI PAMOJA NA MABANGO ILI TUWEZE KUKUSANYA KODI KAMA ILIVYOAGIZWA:

    February 18, 2021
  • Ona zote

Video

Viwanja vinauzwa Mparange Ikwiriri Wialayani Rufiji
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Bima ya Afya ya Taifa
  • Fomu ya Uhamisho wa Mwanafunzi wa Sekondari

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Serikali - Tanzania
  • OR-Tamisemi
  • Utumishi wa umma
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Baraza la Mitihani la Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI(W),

    Anwani ya Posta: S.L.P 28 UTETE/RUFIJI

    Simu ya Mezani: 0232010304

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@rufijidc.go.tz

Mawasiliano mbadala

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hati Miliki ©Ded-RufijiDC 2017 Haki zote Zimehifadhiwa